Kuna ile hisia inakuja wakati uko na pesa, au hata kama sio pesa ile hisia wakati uko na kitu kizuri. Nataka kuzungumzia kauli ya aliyenacho huongezewa, kwa kutumia elimu ya mitetemo kutoka kw…
Read moreSijapenda kufundisha elimu ya kiroho / asili au elimu ya ulimwengu , mimi ni mdau wa tehama, limbukeni ya tehama ndio ilinibeba nikafanikiwa kubobea kwa kiasi ambacho sio kidogo , taaluma ya say…
Read moreBaada ya kifo, mwili unakufa lakini frequency ya roho huwa inaendelea Wapo roho Waliopumzika (High Frequency) , roho hawa wana baraka,amani,wanaenda juu. Hutembelea kizazi kwa ajili ya ulinzi,o…
Read moreBonyeza picha kusikiliza sauti za Frequency Mwili wako ni kama kioo cha frequency huakisi frequency inayo ingia , tendo linalo fanywa na mwili ni matokeo ya frequency iliyo ingia , mfano unawe…
Read moreAkili Yako: Chanzo Kikuu cha Frequency Yako. Inaweza kuwa ngumu sana kupambana na akili yako, kama haufahamu jinsi akili inavyo asili hisia yako baada ya ama umesababishiwa au harakati za maish…
Read moreMsiba, Utamaduni, na Frequency Kila kabila duniani linaunda frequency kupitia mtindo wao wa kuaga wafu. Makabila Yanaocheza/Muziki Msibani (High Frequency) Wao huamini kwamba Kifo ni safari pia …
Read more“A” | Frequency ya dunia, Sadaka na mambo ya utamaduni, baada ya kujifunza mambo mengi kwenye sura tatu zilizopita sasa tuangalie, Frequency ya dunia, Sadaka na mambo ya utamaduni kwenye sura y…
Read more