Namna roho wa familia wanaweza kuwa wema au wabaya

 Baada ya kifo, mwili unakufa lakini frequency ya roho huwa inaendelea

Wapo roho Waliopumzika (High Frequency) , roho hawa wana baraka,amani,wanaenda juu. Hutembelea kizazi kwa ajili ya ulinzi,ongezeko la hekima na baraka

Wapo roho wasumbufu (Low Frequency) , hawa hawapandi juu kutokana na hasira,machungu,lawama,kuondoka vibaya,kukosa msamaha, na hawa wanaweza kushikamana na familia kama nishati nzito.


Lakini kuna mambo yanaweza kufanyika kwa ajili ya kusaidia roho hizi kupumzika kwa amani na kupanda kwenye high frequency. Kulingana na mtu alikufaje, matendo ya , Moja Msamaha, ni silaha ya kwanza kabisa ya kuinua roho.Msamaha hutuma mwanga wa High Frequency unaowainua kimawimbi. Pili Maombi ya kupanda /Kutakasa, maombi kutumia lugha ya nuru, upendo,amani,shukrani, yote haya hufungua njia ya kupaa. Tatu ni kutibu Mizigo Hai ya Familia mara nyingi roho anashikiliwa na “mzigo wa ukoo”. Ukiponya patterns za hofu au hasira, unasaidia roho iliyokwama kupaa.

Hadi sasa tumejifunza mambo mengi katika mfululizo wa post za elimu ya kiroho, ni muhtasari wa mambo tuliyo Jifunza hadi sasa.

Umejifunza kuwa 

Jicho la tatu ni antenna ya kiroho( alpha ndiyo Daraja la kutoka Beta kwenda Theta na hapa ndio jicho la tatu hufunguka)

Akili ya Hazina(Subconscious mind) ni kompyuta kubwa ya maisha

Mawimbi ya Ubongo ndiyo switch ya kubadilisha frequency

Watoto wana nguvu ya kiroho kwa sababu wanaishi Alpha/Theta

Roho Wasumbufu hupanda kupitia msamaha na upendo

Mwili hutiii frequency unayoishi ndani yake.

Chakras ni injini ndogo za nishati zinazoendesha maisha

Ujumbe Mkuu: Ukiweza kudhibiti frequency ya akili ya hazina, utafanikiwa kuudhibiti mwili wako , maisha, na upeo wa kiroho unaoweza kufikiwa.

Tutakuja kuendelea na Sehemu ya 3 katika kitabu changu cha MITETEMO YA KIROHO, ambapo tutaanza kujifunza Mipaka ya kimawimbi hapo tutajua kutofautisha sauti za mabab

u na malaika


Post a Comment

0 Comments