Ramani yako ya kuzaliwa ni picha ya frequency hizi, zikikuonyesha safari yako ya kipekee duniani.

 Unajimu na Kusudi la Maisha: Ramani ya Frequency ya Hatima Yako 

Katika ulimwengu wa kiroho, mpangilio wa anga haujawahi kuwa wa bahati mbaya. 

Hii ndio elimu ya nyota ukisikia mtu anakwambia unanyota ama ng’ombe , ama Samaki, ama simba somo hili ndio utajifunza zaidi. Fahamu kila sayari, nyota, na ishara ya Zodiac ina Frequency yake—mawimbi yanayoelekeza safari yako ya maisha. Unajimu haumaanishi tu “mimi ni Nge, mimi ni Mapacha.” Unajimu ni ramani ya Frequency ya roho yako, iliyochorwa kwa usahihi wakati ulipozaliwa. Sura hii inakufundisha jinsi anga lilivyokuwekea signature ya frequency, lengo lako kuu, changamoto zako, na njia ya kuzigeuza kuwa nuru. Kila mtu ana Ramani ya Kuzaliwa (Natal Chart) au niseme Ufunguo wa Frequency ya Asili. Wakati ulipovuta pumzi yako ya kwanza, anga lilikuwa limeshaweka mtetemo (frequency imprint). Mtetemo huo ndio muundo wa maisha uliokuja nao.



 Umewahi kuskia neno unajimu(astrology) na kwenye unajimu ukasikia neno Zodiac, Zodiac ndio Chakras za Anga. Kila ishara ya Zodiac ni kituo cha nishati chenye masomo maalum ya maisha:

Simba → frequency ya uongozi na ujasiri

Mizani → frequency ya usawa na haki

Samaki → frequency ya intuition na ndoto

Mapacha → frequency ya msukumo na mwanzo

…n.k

Hizi ishara si tabia tu—ni frequency ya roho unayotakiwa kufungua maishani.

Sayari — Vituo vya Frequency vya Tabia na Hatima

Kila sayari ni “kituo cha frequency” kinachoongoza eneo tofauti la maisha mfano

Jua (Sun): Frequency ya Kusudi Kuu cha maisha

Mwezi (Moon): Akili ya Hazina (Subconscious), hisia, kumbukumbu za mababu

Mirihi (Mars): Nguvu, msukumo, hasira au ujasiri

Zohali (Saturn): Changamoto, nidhamu, karmic lessons

Jupiter: Wingi, upanuzi, bahati

Pluto: Mabadiliko ya kina, kuzaliwa upya,kifo

Ramani yako ya kuzaliwa ni picha ya frequency hizi, zikikuonyesha safari yako ya kipekee duniani.

Ili uelewe jambo vizuri ni muhimu kulitafakari mara kwa mara kupitia masomo yangu mara moja moja hautapata nafasi ya kuunganisha nadhalia hizi ili ziweze kukusaidia katika maisha yako na ndio maana nakusihi uwe na kitabu changu cha mitetemo ya kiroho kwa maana kina kila kitu kwa mpangilio mzuri na inakuwa kama kumbukumbu na chanzo cha elimu kwa wanao kuzunguka.

Nimalize kwa kuku alika kununua kitabu changu cha MITETEMO YA KIROHO chenye gharama ya Tsh 25,000/= , kitabu ni nakala laini(eBook) unakipata kwenye Whatsapp yako baada ya kufanya malipo kwenye Namba 0682329852 , 

BASI UMEBARIKIWA KWA KUFANIKIWA KUPATA ELIMU

 HII KUBWA YA KIROHO.

Post a Comment

0 Comments