Namna kila kabila duniani linavyounda frequency kupitia mtindo wao wa kuaga wafu.

Msiba, Utamaduni, na Frequency



Kila kabila duniani linaunda frequency kupitia mtindo wao wa kuaga wafu.

Makabila Yanaocheza/Muziki Msibani (High Frequency)

Wao huamini kwamba Kifo ni safari pia Roho inarudi nyumbani na hii Ni mabadiliko ya frequency. Kwa kucheza, kupiga ngoma, au muziki ni tendo linalo inua roho ya marehemu, Wanazuia familia kubebwa na Low Frequency, Wanatuma nishati ya shukrani na mwanga

Muziki una note maalum zinazoamsha Akili ya Hazina kutuma High Frequency mwilini.


Makabila Yanayolia Sana (Low Frequency)

Kulingana na Sheria ya Frequency hisia kama 

Huzuni = Low Frequency

Hofu = Low Frequency

Zikizidi zinashusha roho ya marehemu, zinamfunga ardhini, zinatengeneza roho wasumbufu, zinaathiri kizazi kilichobaki (kifedha, kimapenzi, kiafya)

Ndio maana baadhi ya koo huendelea kuwa na mkosi , umasikini kizazi baada ya kizazi kwa miaka mingi.

4. Kifo cha Ghafla (Ajali) na Siri ya Frequency

Kifo kikitokea ghafla, roho: Hutolewa mwilini bila maandalizi, Huingia mshtuko, Inakuwa na mkanganyiko, Hushuka frequency yake haraka na Roho ya aina hii huwa Low Frequency bila kujua.


Nini Cha Kufanya Kiroho?

Usilie kupita kiasi. Usitume hofu. Na Badala yake: Tuma Amani , Tuma Mwanga, Tuma Msamaha, Tuma “Nenda kwa mwanga”

Hii husaidia roho kupanda kwenye High Frequency kwa haraka.

Kila utamaduni duniani, iwe Kuchinja, Kulia, Kucheza, Kutumia mitishamba, Kutumia viungo vya Wanyama , utamaduni wowote hapo Ulikuwa na lengo moja: kusawazisha Frequency ya roho, familia, na Dunia.

Kufanikiwa katika maisha kunatokana na kuchagua frequency ama Amani, Utulivu, Shukrani, Msamaha, Nuru. Hizi ndizo zinazosawazisha mababu, roho, na dunia inayokuzunguka.

Somo linalo fuata tutajifunza elimu ya nyota na frequency za kuzaliwa nazo za mtu.

Nimalize kwa kuku alika kununua kitabu changu cha MITETEMO YA KIROHO chenye gharama ya Tsh 25,000/= , kitabu ni nakala laini(eBook) unakipata kwenye Whatsapp yako baada ya kufanya malipo kwenye Namba 0682329852 , 

BASI UMEBARIKIWA KWA KUFANIKIWA KUPATA ELIM

U HII KUBWA YA KIROHO.

Post a Comment

0 Comments