Sayansi ya Shule Inauwa Uhalisia – Siri za Uumbaji Ndizo Chanzo cha Mafanikio ya Kweli

Sijapenda kufundisha elimu ya kiroho / asili au elimu ya ulimwengu , mimi ni mdau wa tehama, limbukeni ya tehama ndio ilinibeba nikafanikiwa kubobea kwa kiasi ambacho sio kidogo , taaluma ya sayansi ya teknolojia katika utengenezaji wa programu za kompyuta kwa kutumia programing.

Nikafanikiwa kuanzisha brand ya Jiku Tech Tips kwa ajili ya shughuli ya kuvizia dili za programu na kufundisha watu walio hitaji kuwa  kama mimi.

 Lakini changamoto kubwa niliyo ipata, katika jamii yetu , sayansi zote za teknolojia hazijazaliwa kwenye jamii ya kiswahili , na hivyo kufanya hata ukiwa umebobea sana , unashindwa kupata wateja au dili za kukuweka mjini.

 Hali iliyo nipa ugumu na mawazo sana kwa maana ya kama mimi mwalimu sipati dili za kazi hii, sasa namfundisha mtu ujuzi huu ili aende wapi au afanye nini ? , nikaona kama nitakuwa nafanya utapeli.

Katika kuwaza sana nikapata majibu lazima nipate suluhu mwanafunzi nikifundisha nampa mwelekeo gani, mwalimu nikarudi kwenye maisha ya kujifundisha vile vile nilivyo jifunza programming kwa kutumia internet na vitendo, nikajifunza elimu ya mambo ya asili na mambo ya sirini yaliyo nifanya sasa nimegundua au nimeshuhudia mambo mengi sana ya siri za ufahamu kupitia elimu ya ulimwengu wa kiroho au elimu ya asili.



Sayansi unayo ijua shuleni inauhusiano mkubwa sana na elimu za kiroho isipo kuwa yenyewe ni ndogo sana kwa elimu ya kiroho , sayansi ya shuleni ni sayansi inayo jadili mantiki hasa kutumia kugawanya kitu ili kukielewa zaidi , tofauti na elimu ya kiroho inamfanya mtu aelewe kitu kilicho hai , chochote kinacho onekana na kisicho onekana, hivyo sayansi ya kiroho inatuambia uhalisia kwamba ni ngumu sana kupata ukweli kwenye kitu kilicho kufa ,,, kitendo cha sayansi ya shuleni kutumia mbinu ya kugawanya vitu ili kupata ukweli ni kitendo cha kuua kitu ili kukielewa , sayansi ya kiroho inasema uhalisia kwamba ni ngumu sana kupata ukweli ulio nyoooka kwenye kitu kilicho kufa.

Mimi nikakubaliana kwamba sayansi ya shuleni ni ndogo sana kwa elimu ya kiroho. 

Nikajiskia jukumu la kufundisha ufahamu wa ndani nilio upata ambao ndio dereva wa ufahamu wa nje na matendo yote ya nje, yaani ubunifu na kila kitu hutoka kwenye ulimwengu wa rohoni usio onekana wala kushikika. 

  Yote ili nikirudi kufundisha tehama nimpe mtu Elimu na mwelekeo ulio sahihi kwani mwelekeo wa kawaida umezalisha watu wengi sana , wataalamu ambao hawaja zalisha chochote cha kusaidia aliye msomesha huenda hata yeye anashindwa kujilisha na elimu yake, wengine hadi kuwa matapeli ,, wengi hawaja onyesha walicho jifunza shule hadi leo hii.


Kitu kikubwa nilicho jifunz ni siri za uumbaji wa ulimwengu ambazo sikuzifahamu kabla na nilikuwa najiuliza inakuwaje mtu hadi anabuni ndege na kuwa halisi, inakuwaje mtu anabuni internet na kuwa halisia, inakuwaje mtu anabuni gari,, je kwani wao ndio watu sisi sio watu ,, nilijiuliza kwa muda mrefu  siri ya mafanikio yao ya muda wote. Hatimae majibu mengi sana kuhusiana na maswali yangu mengi sana ninayo sasa,, na sasa nafundisha mwenye kuelewa aelewe mwenye kusubilia mwalimu wake anaye mjua amweleweshe aendelee kusubili.


Siri hii ya uumbaji ndio kila kitu , siri za uumbaji ni jambo ambalo peke yake linaendesha maisha ya dunia . 

Hatari kubwa sana ya siri hizi ni pale unapo fanikiwa kujenga jambo kwa sheria hizi linakuwa bila kupoteza umbo lake haijalishi lina pumzi au halina,


Jambo lolote likijengwa kwa sheria za ulimwengu hata wewe ukifa linabaki lina kuzwa na sheria za ulimwengu.

Hata uwe na pesa nyingi kiasi gani pasipo kufahamu siri hii bado unakuwa kwenye mfumo wa mwanadamu mwenye ufahamu wa sheria hizi.

Hata upate pesa nyingi kiasi gani bado utaenda kuweka BENKI , dunia yote inakuwa inafahamu kiasi cha pesa ulicho nacho.

 Kila utawala upo kwa sheria za kimataifa za wazi na za sirini,, mautawala mengi hufahamu sheria za wazi na mautawala machache yenye nguvu hufahamu siri za wazi za kuzugia na siri za sirini. Ili kutengeneza au kuendeleza maisha ya mautawala zaifu na yenye nguvu.


Mautawala yanayo fahamu sheria za wazi hupata jeuri na kuona wanafahamu utaratibu wa dunia, wakati huo mautawala wanaofahamu kila kitu huendelea kutafuata mianya mingi duniani na kuendelea kuboresha sheria za sirini au gizani

Nazani shirika la fedha duniani hufahamu takwimu za moja kwa moja za mauchumi ya matautawala mbali mbali kupitia mabenki , makuu na mabenki madogo madogo ,, mabenki makuu ya mautaula kwenye sheria za sirini kwenye mautawala duniani kote hufanywa na sheria za sirini kuwa vilanja au manyampala wa kupeleka taarifa za mauchumi, na kisha mautawala yenye nguvu huandaa mamikakati imara ya kuendelea kutawala mautawala mengine kupitia mataarifa hayo.


Mautawala madogo na mawatumishi wake husikia fahari kusimamia masheria ya kusimamia watu wao , wakilizika na vipato vyao baada ya kusimamia masheria hayo, na wasijue kuna masheria ya sirini ya kidunia ya kuendelea kutengeneza mautawala baadhi yaendelee kuwa na nguvu zaidi.


Kama ilivyo katika maisha ya kawaida ukigundua mbinu za mtu , maisha ya mtu , basi unaweza kumchezea vyovyote unavyoweza , kwenye familia mke akijua unapesa anaanza kuleta storia nyingi za pesa kukutoka au hata kama unamali nyingi sana majanga hutokea kama kuuawa na mke ili amiliki pesa na mali zako. Sasa kwa akili ya kawaida wenye kusimamia mifumo ya kidunia ya fedha yaone mautawala flani mauchumi yao yanaenda visuli inazani itaacha iende ??? 

Yapo mambo mengi sana yanawesa kutokea ili kurudisha mautawala hayo nyuma usisonge mbele zaidi au ikajengwa mbinu ya unyonyaji dhidi ya mautawala hayo. 

Wote kwa pamoja tunaushahidi wasomi ni wengi sana lakini maisha yanaenda yanako jua yenyewe. Wote tumekuwa vipofu wasomi na wasio wasomi.


Hata msomi aliye pata kazi , kazi yake haitoshi kumhudumia hata kiasi kidogo , mtu aliye msomesha , hata familia ya kiunoni kwake huenda hata yeye mwenyewe. 

Tuna watu wanaona fahari kubwa na fedha nyingi , ama vyeo vikubwa(unyampala wa mifumo ya dunia kwenye jamii zao) , kuwa eti na magari (ushamba). 

Mfumo wa fedha ni mfumo wa kiduniani sana na unamilikiwa na kuendeshwa na mautawala yenye manguvu sana sana kweli kweli kabisa. Hata wenzetu wakitafuta pesa wakatuzidi bado tupo kwenye jahazi moja la mifumo ya mautawala yenye manguvu yao kabisa sana. Ukipata pesa nyingi bila kuelewa siri za uumbaji wanazo zielewa walio leta mifumo hiyo inakuwa ni kama sijui kanini , yaani wewe ndio wakala wa kuhalalisha mfumo huo , ili nawengine waendelee kukimbizana na fedha na wasifanye chochote cha maana hadi wanakufalas,,,, Hata uwe nazo nyingi kiasi gani huna cha kubadilisha wala unakuwa  sio hatari yoyote kwao wao wenye mamifumo yao …. 


Uhatari wa kuwa na pesa bila kufahamu sheria za uumbaji ni balaa kwa jamii yako maana wewe ndio unaweza kupoteza wenzako kwa urahisi,,, 


Ni muhimu sana kufahamu sheria za ulimwengu za uumbaji.

Baada ya kufahamu , mimi nina uhakika utajua sababu ya mambo mengi ya kiduniani na utajua kuwa hicho ndio  walicho kifanya  wao baada ya kukutangulia kujua siri hizo ,,sheria ambazo ni za ajabu sana, najiuliza wewe baada ya kuzijua utafanya nini ???? 

Na hakika utaishi huku ukiwa unaiona mifumo ya kidunia kwa macho yako . 


Mwanadamu ni uumbaji wa pekee sana katika uumbaji wa unaofanyika ulimwenguni. 

Leo tarehe 14/01/2026 hadi sasa walio wengi mamlaka zao wamekabidhi kwenye mifumo ya kidunia na wengi kwa ajili tu ya pesa, na mamlaka hizo ambazo hawana zimefanya washikiliwe kwa kamba zisizo onekana ,, kamba ambazo ganda zake ni IMANI,USOMI,FEDHA,SIASA,MITAZAMO…..


Kwenye siri za uumbaji wa ulimwengu nimefahamu uhatari wa kiumbe mwanadamu, Nipo hapa ili kama ikiwa njema , fahamu za wewe unae elewa lugha ya kiswahili uelewe kwamba wewe ni ulimwengu kamili unae tembea na  kama ulimwengu ulivyo ndio hivyo ulivyo wewe.

Ulimwengu unaumba wewe unaweza kuumba uhai bila utambuzi,

Mwanadamu anaweza kufikiri kitu kisicho kuwep na akafanya kikawepo  mwanadamu anaumba mbegu anazoweza  kuzikuza na zika kua.

Kitu kikubwa au utajili au uajabu wa mwanadamu ni mawazo yake.


 Wazo ni uhai usio na nyama, Sasa mawazo tunayo sawa, na kiukweli sisi ni matajili wa mawazo  sana tu.


Kitu tuicho kosa hapo awali kutokana na mifumo ya kidunia ni ufahamu na utambuzi kuhusu mawazo.

Wengi tunamawazo lakini kwa makusudi ya mifumo ya kidunia tunapewa Elimu isiyo sahihi kabisa ambayo haiwezi kutusaidia kupanda mawazo yetu yakachipua, kukua ,kukomaa na kuzaa matunda na mbegu zingine nyingi kama alizeti. 

Na ndio maana waswahili wengi wana amini watu weupe ni bora, wana akili , watu wengi wana imani kuishi kwenye nchi za watu weupe ndio ujanja, kuongea lugha za watu weupe ndio ujanja , kuongea nao ndio ujanja, watu weupe wenye siri za uasisi wa mifumo  mingi wanajua na wanaelewa ushambani walio nao weusi wengi, Tena ushambani na ushambenga wa kuletewa kutokana na kuchelewa kujua na kufahamu sheria za uumbaji wa jambo , sheria hizo za ajabu za ulimwengu kuumba na kitu kukua kwa asili bila kupoteza umbo lake la asili, Siri hizi waliziishi na kuzidhibitisha watu wa misri ya kale Kemet, 


Namwenye nazo ndio mtu hatarii katika uduniani huu wa duniani ,, kuwa nazo sio jambo kubwa sana , mtu mwenye nazo  na kuziishi ni mtu hatari sana , ni mtu na nusu.


Lakini usijiskie vibaya sana ninapo wata watu wa misri , na watu weupe kuwahi kuchukua siri hizo kabla yetu, hawa watu wa misri hawana umaalumu wowote wa kushinda tamaduni yako ya kale ya asili yako , hatari ya watu wa misri inakuja kwenye kuzijua ,kuziishi , kuzitendea , kuzitunza, kuzisoma walipo zitunza na kuziendeleza, na kuzitunza tena na hivyo kumbukumbu kubaki hadi leo tunawa enzi weusi hawa watukufu wa misri ya kale Kemet.


Elimu hizo kipindi hicho kabila lolote lilikuwa nazo isipo kuwa , makabila ya asili yetu kila mmoja hawa , kuzitunza kumbu kumbu za kudumu, kuzisoma walipo zitunza na kuziendeleza, na kuzitunza tena na hivyo kumbukumbu kubaki hadi leo. 


Na sheria hizi za misri ndio hizo zipo kira Kabila , sio kila kabila tu zipo kwenye mwili wa mwanadamu, mnyamo yoyote, mmea wowote, hata kila kiungo cha mwanadamu kinasheria hizi, na ndio mwenye kufahamu formula ya kiungo huponya kiungo kikipoteza usawa wake,, 


Kwahiyo sheria ni zile zile haijalishi eneo na kabila na kwa kusoma na kuzielewa sheria hizi utaamini kwa kiasi kikubwa maneno yangu mimi, bila hata kulazimishwa.


Kosa la watu wengi walikosea kuelewa vibaya habari ya wazo , au  wanakosea  sana kushughulika na mawazo.

Wazo ni uhai usio na nyama, Sio wazo tu kitu chochote kitakacho fanyika kwa kanuni hizo hata cha ovyo ovyo lazima kitakuwa kwa asili yake.

Kitu chochote kitakacho fuata sheria za asili au niseme ulimwengu lazima kikuwe kwa sheria hizo hata ukiwa umekufa kinaendelea kukua daima. 

Baada ya kupata wazo unatakiwa kufuata sheria za ulimwengu ililiweza kukua lenyewe kwa sheria za asili bila kupoteza umbo lake , kama vile mti ulivyo kwa sheria hizi huwa ulivyo, kama vile kono kono hukua kwa sheria hizi na huwa alivyo hivyo ndivyo wewe unatakiwa kuwa ili kuwa ulivyo zaliwa , na hivyo ndio unatakiwa kufanya wazo lako , fuata sheria hizi ili wazo lako liwe lilivyo kwa asili yake ,, wazo ni nishati, wazo ni nguvu ya kiroho inahitaji kubadilishwa na wewe kuwa kitu cha kuonekana na kushikika. 


Siri au Sheri aninazo zisema zipo unazitumia unaziishi kila siku na hazikusaidii kwa kuwa haujui nishati au asili yake au niseme zinamatumizi maalumu kuachana na matumizi ya kawaida. 

Siri hizi ni namba, ∞,0-9. 

∞,0-9.

Namba hazijakuwepo hazijakuwepo ili kupoteza muda kama mwanadamu asiye pambania asili yake ,, bali namba ni simulizi inayo jitambua inayo simulia  kwa ukamilifu simulizi ya uumbaji  wa kitu chochote , kuanzia wewe, jiwe, simu , mitishamba,madini,dunia,watoto wako , mke wako ,pesa zako ,mkojo, haja kubwa,mikono , pua ,mdomo, pua….kila kitu hadi vitu vilivyo angani.

Baada ya kutazama video niliyo fundisha youtube, utakuwa mtu unaweza kutambua na kujitambua kutoka hapo basi unaweza kufanya maajabu popote ulipo . 


Lakini kwa kua umeishi miaka mingi kwenye upuuzi itakuchukua muda wa siku chache kuelewa na kadili unavyo dhibitisha mwenyewe kwenye maisha yako elimu hiyo takatifu sana itakuingia ndani na itaanza kutenda kwenye kila jambo lako kwa utukufu wake, elimu hiyo hiyo itakutumikia vizuri kabisa. 

Kwa uratibu nilio uelekeza mwishoni mwa video kwamba unatakiwa 

Moja kufahamu mtetemo wako wa asili kupitia tarehe ya kuzaliwa

Pili upambane kuweka sawa mtetemo wako (nyota yako) ili uwe halisi

Tatu ndio sheria za uumbaji zitafanya kazi kwenye matendo yako.

Ni rahisi sana nimeelekeza mwishoni mwa video hiyo.


Na baada ya elimu hiyo nzito basi naweza kumfundisha mtu  taaluma ya kutengeneza mifumo ya kompyuta ili aweze kutumia sheria hizo kutengeneza mifumo na kupata kipata cha kuanza nacho ili wakati anafanya mpango wa kumiliki mamlaka yake kamili, aweze kuisimamisha kwa sheria za uumbaji ili kumbukumbu lake libaki hata akifa.

Pesa chache zitasaidia kumpa utulivu wa akili, maana kanuni zinategemea kichwa ndio kiwanda cha zenyewe kuzalisha , haziwezi kamwe kuzalisha bila akili tulivu.

Inabidi kufuata mifumo huku akitoka kwenye mifumo ya kidunia iliyo hai, hawezi kutoka ghafla ghafla lazima kutoka taratibu na kutengeneza mamlaka yako taratibu,


Sasa naweza kumsaidia nitakaye mfundisha ili taaluma imlipe.


Pata wasaa wa kufuatilia tafsri ya namba na nimekuwekea video youtube  nimefundisha namna hii video ina saa moja na dakika 37(1:37:00) , nenda kwa link hii hapa…..>>>>



<<<<<<

 Nimekueleza kwa undani namna ya uumbaji kupitia namba, ilikuwa ni baada ya kushindwa kuandika nikaona namna nzuri ya kusema nilivyo kuwa nimepanga kukwambia ni ku record na kufanya video unaweza kuitazama bure huko mjini youtube,


Post a Comment

0 Comments