Kwa nini aliye nacho huongezewa

 


Kuna ile hisia inakuja wakati uko na pesa, au hata kama sio pesa ile hisia wakati uko na kitu kizuri. Nataka kuzungumzia kauli ya aliyenacho huongezewa, kwa kutumia elimu ya mitetemo kutoka kwenye kitabu cha mitetemo ya kiroho, kauli hii huwa ni hai. Nimewahi kukwambia kuna kujiskia vizuri na kuna kujiskia vibaya. Hisia hizi zinaweza kuwepo kwa muda mfupi, na pia mtu unaweza kudumu kwenye kujiskia vizuri na mwingine atadumu kwenye kujiskia vibaya. Kama ilivyo ukifika kwenye nyumba ina malashi mazuri, uta yaskia na ukiendelea kukaa malashi yale unayazoea na unaacha kuyasikia(Hapa ndio tunasema kitu kimekuingia hadi wewe umekuwa sehemu yake, mmekuwa kitu kimoja,namkisha kuwa kitu kimoja, kimoja hakiwezi kujiona hadi kiwepo kingine ndio kitaona), ila akiingia mwingine ataongea hapa kuna malashi/harufu nzuri sana , wakati huo wewe umeacha kusikia na unakumbuka kwamba dah ee kweli hapa kuna malashi, naye huyo akikaa muda atazoea hali iyo pia. Nilifundisha mtu mmoja kwamba kujiskia vizuri haijalishi nini kinasababisha ni hisia ya high frequency(mtetemo wa kiwango cha juu) , wakati kujiskia vibaya haijalishi nini kinasababisha ni hisia ya low frequency(mtetemo wa kiwango cha chini). Unapo dumu kwenye mtetemo wa kiwango cha juu nakuwa kwenye usawa wako wa asili , riziki zako zinaweza kukupata , unakuwa kwenye channeli ya riziki. Unapo dumu kwenye mtetemo wa kiwango cha chini unakuwa kwenye usawa usio wa asili yako, mikosi na mabalaa yote inakuwa haki yako, unakuwa kwenye channeli ya matatizo. mtetemo wa kiwango cha chini unakuwa hauko kwenye sheria za asili ni sawa na mmea kivulini kwa hiyo asili haiwezi kukusaidia. Kwa sababu sio wewe, unatetema tofauti na asili yako wewe. mtetemo wa kiwango cha juu unakuwa kwenye sheria ya ulimwengu , unakuwa wewe mwenyewe unakuwa unatetema kwenye uwewe ule. Kwahiyo kama nyimbo yako au mtetemo wako wa asili unaleta hali ya hewa ya huruma, watu watakuona mwenye huruma hata kabla hauja ongea, kulingana na mtetemo wa asili yako ,, watu watajiskia uhakika wa hisia hiyo wanapo kutafuta na popote ulipo. Sasa kauli ya aliye nacho huongezewa , inathibitika kutokana na mtu aliye nacho kingi anakaa kwenye hali ya kujiskia vizuri muda wote yaani anadumu kwenye mtetemo wa kiwango cha juu. Na mtu anapo dumu kwenye mtetemo wa juu hata bila yeye kujua, mtetemo wa asili yake huanza kutoka wenyewe tu taratibu akiendelea kudumu zaidi mtetemo wake hutamalaki na kufanya mazingira yanayo mzunguka kuwa na hali ya hewa yake , kama ilivyo halufu. Mtu nilikufundisha kwenye namba hatua kwa hatua namba tatu ni nishati isiyo na umbo nafsi, namba nne ni nishati iyo hifadhiwa kwenye umbo/mwili , namba tano ni uamsho wa nishati iliyo hifadhiwa kwenye mwili , namba sita ni mpangilio wa nishati ile ili iwe yenyewe , kumbuka uamsho ni kuvulumusha nishati iliyo kwenye umbo inatoka bila mpangilio lazima uipangilie ndio iwe ile halisi iliyo hifadhiwa kwenye mwili / umbo namba saba ni uthibitisho kwamba nilicho kuwa nataka ndio hiki(kama ni harufu unasema hii ndio harufu yenyewe)... Yote haya haya wezi kutokea yenyewe ila yanaweza kutokea yenyewe tu pale unapo dumu kwenye mtetemo wa kiwango cha juu. Kudumu kwenye mtetemo wa kiwango cha juu ndio kupangilia nishati/mtetemo ulio beba uwe wenyewe halisi na uweze kutengeneza hali ya hewa yake popote ulipo, kila mtu ajiskiwe uwepo wako hata kabla haujaongea. Ingia youtube ya ndangisha kafumo ….>>>HAPA<<< ujifunze habari ya mitetemo na habari ya uzalishaji wa nishati(uchawi,malaika,mapepo,mvuto), uhifadhi wa nishati hiyo, kuiamsha ,kuipangilia na kuitumia tena na tena kama ilivyo fomula ya radi, soda ya cocacola, kusababisha ajali, kupaa, kuvutia pesa, na hapo ndio utagundua waganga na wachawi na wana kemia ni wataalamu wa kuzalisha nishati, na kutunza fomula zake. Nenda kajifunze Youtube kisha njoo ni hoji WhatsApp 0682329852, Karibu Tuzungumze. Ili uweze kudumu kwenye high frequency na kuwinda mawazo yako kama mwindaji stadi, lazima kwanza ufahamu mtetemo wako wa asili kupitia Nyaraka ya Taarifa ya Utambulisho wa Kuzaliwa (Tsh 5,000 tu), kisha ujifunze kudumu kwenye high frequency kupitia kitabu MITETEMO YA KIROHO (Tsh 25,000), na hatimaye upate uwezo wa kuwinda mawazo na kuunda uhalisia wako kwa vitendo kupitia kitabu UWEZO WAKO KWA VITENDO (Tsh 15,000). Wasiliana sasa 0682329852 (WhatsApp/Simu) kwa malipo na PDF haraka! Amka na mtetemo wako wa juu leo – uwezo wako unakungoja! 🔥✨ #MtetemoWaJuu #HighFrequency #UwezoWakoKwaVitendo #MitetemoYaKiroho #NdangishaKafumo #UamshoWaKiroho #HekimaYaKemet


Post a Comment

0 Comments