Kuinua Frequency Yako Kwa Kutumia Unajimu

 Kuinua Frequency Yako Kwa Kutumia Unajimu

Unajimu ni kama GPS ya Frequency Yako. Inaweza kukuonyesha maeneo yako ya High Frequency, maeneo yenye Low Frequency, njia ya kupandisha mtetemo wa roho yako



 A. Kugundua “Langoni” la Low Frequency

Kila mtu ana nyumba (House) au sayari inayomletea changamoto.

 Mfano:

Fedha (House 2) ina sayari ya Low Frequency → unapata vikwazo vya kifedha

Mahusiano (House 7) ina Pluto → unapitia mabadiliko mazito

Unajimu unaonyesha mahali pa kuponya frequency.


 B. Kurekebisha Frequency kwa Sauti na Rangi

Kulingana na mfumo wa Chakras (uliotajwa kwenye Sura za nyuma):

Mirihi (Mars) → Mizizi (Red, Note C)

Mwezi → Sacral/Emotions (Orange)

Jupiter → Solar Plexus (Yellow, Note E)

Venus → Heart Chakra (Green/Pink, Note F)


Ukijua sayari inayokusumbua, unaweza kutumia rangi na notes kuzirekebisha.

Mfano:

 Kama Mars anakupa hasira na migogoro:

Tumia Rangi Nyekundu kwa uthabiti

Sikiliza sauti ya Note C (Do) ya muziki

Fanya grounding(tembea peku kwenye ardhi)

Badala ya hasira (Low Frequency), unapata nguvu na ujasiri (High Frequency).

FAHAMU KWAMBA WEWE NI NYOTA

Wewe si mwathirika wa nyota—wewe ni nyota yenyewe.

 Sayari zinatoa ramani.

 Zodiac inatoa masomo.

 Ramani ya Kuzaliwa inatoa njia.

Lakini Frequency unayoamua kuishi nayo ndiyo huunda hatima yako.

Unapochagua ama Amani, Ujasiri, Msamaha, Mwanga, Nuru

…unafungua mlango wa kusudi lako la juu kabisa. 

Somo linalo fuata tunaunganisha maarifa ya Frequency, Astrology, na tabia zako za kila siku. Hapa ndipo tunaanza kuona jinsi anga “linavyoongea” na nishati yako—kila saa, kila siku, na kila mwaka.

 Ili uelewe jambo vizuri ni muhimu kulitafakari mara kwa mara. Kitendo cha kupitia masomo yangu mara moja moja hautapata nafasi ya kuunganisha nadhalia hizi ili ziweze kukusaidia katika maisha yako na ndio maana nakusihi uwe na kitabu changu cha mitetemo ya kiroho kwa maana kina kila kitu kwa mpangilio mzuri na inakuwa kama kumbukumbu na chanzo cha elimu kwa wanao kuzunguka.

Nimalize kwa kuku alika kununua kitabu changu cha MITETEMO YA KIROHO chenye gharama ya Tsh 25,000/= , kitabu ni nakala laini(eBook) unakipata kwenye Whatsapp yako baada ya kufanya malipo kwenye Namba 0682329852 , 

BASI UMEBARIKIWA KWA KUFANIKIW

A KUPATA ELIMU HII KUBWA YA KIROHO.

Post a Comment

0 Comments