Planet Transits: Mawimbi ya Frequency Yanayokugusa kwa Muda
Wakati sayari zinahamia kwenye anga ya sasa, zinakutana na sayari zako za kuzaliwa.
Hapo ndipo hutokea jambo linaweza kuwa mabadiliko, changamoto, mafanikio, kuzaliwa upya
Transit = Mawimbi ya Frequency ya Muda
Kila transit ina ujumbe:
Zohali (Saturn) → huleta nidhamu, ukomavu, vizuizi vya kukua
Jupiter → upanuzi, bahati, neema
Pluto → mabadiliko makubwa, mwamko
Mirihi (Mars) → msukumo au migogoro
Zinaweza kuwa nzuri au changamoto kutegemea frequency yako ya ndani.
Mfano: Zohali Transit (Low → High Frequency)
Zohali huonekana kama mzigo, lakini kiuhalisia ni mwalimu wa frequency yenyewe Inakulazimisha ukabiliane na woga, Inapima nidhamu yako na Inasafisha makosa ya zamani.
Ikiwa unachagua kuishi Low Frequency ya Zohali, utahisi presha.
Ukiishi High Frequency yake, utakua kwa kasi na kufanikiwa.
Mfano: Jupiter Transit (High → Higher Frequency)
Jupiter huongeza kile ulicho nacho:
Kama uko kwenye Low Frequency, huongeza vurugu
Kama uko kwenye High Frequency, huongeza neema, wingi, mafanikio
Ndiyo sayari ya “kupanuka.”
Jinsi ya Kukabiliana na Transits Kiroho
Tambua Frequency ya Sayari
Pluto → mabadiliko
Jupiter → upanuzi
Zohali → nidhamu
Mars → msukumo
Chagua Mwitikio wa High Frequency
Badala ya hofu, chagua uthabiti, utulivu, kujifunza, kutafakari
Tumia Alpha/Theta (4–12 Hz)
Huu ni ufunguo wa kukubali frequency mpya bila mapambano.
Unaweka Akili ya Hazina kwenye hali ya kupokea, badala ya kujificha. . Ili uelewe jambo vizuri ni muhimu kulitafakari mara kwa mara. Kitendo cha kupitia masomo yangu mara moja moja hautapata nafasi ya kuunganisha nadhalia hizi ili ziweze kukusaidia katika maisha yako na ndio maana nakusihi uwe na kitabu changu cha mitetemo ya kiroho kwa maana kina kila kitu kwa mpangilio mzuri na inakuwa kama kumbukumbu na chanzo cha elimu kwa wanao kuzunguka.
Nimalize kwa kuku alika kununua kitabu changu cha MITETEMO YA KIROHO chenye gharama ya Tsh 25,000/= , kitabu ni nakala laini(eBook) unakipata kwenye Whatsapp yako baada ya kufanya malipo kwenye Namba 0682329852 ,
BASI UMEBARIKIWA KWA KUFANIKIW
A KUPATA ELIMU HII KUBWA YA KIROHO.

0 Comments