Kugundua Kusudi la Maisha: Nuru Kuu ya Frequency Yako
Kusudi la maisha si fumbo—linaonekana wazi kupitia sayari mbili muhimu:
Jua (Sun) → lengo la roho
Midheaven (MC) → wajibu wako kwa dunia
Jua (Sun): Frequency ya Kusudi Lako Kuu
Ishara ambayo Jua lako lipo ndiyo mwanga mkuu wa hatima yako. Mfano:
Jua katika Mapacha (Gemini) → uliumbwa kutoa frequency ya mawasiliano, ufahamu, elimu, ucheshi, na kubadilishana maarifa. Ikiwa huishi frequency hii, dunia itahisi “kuna kitu umekificha.”
Low Frequency vs. High Frequency ya Hatima Yako
Unajimu unakuonesha tu ramani. Ni wewe unaochagua frequency ya kuishi nayo.
Low Frequency (Kivuli cha Ishara Yako)
Mfano:
Nge Low Frequency → wivu, uchungu, visasi
Simba Low Frequency → kiburi, tamaa ya sifa
Mizani Low Frequency → kutopata maamuzi
High Frequency (Nuru ya Ishara Yako)
Mfano:
Nge High Frequency → uponyaji, uchunguzi, ukweli
Simba High Frequency → uongozi wa nuru, ubunifu
Mizani High Frequency → hekima, usawa, diplomasia
Wewe ndiye hubadili kivuli kuwa nuru kupitia uchaguzi wa frequency unayoishi nayo. Ili uelewe jambo vizuri ni muhimu kulitafakari mara kwa mara. Kitendo cha kupitia masomo yangu mara moja moja hautapata nafasi ya kuunganisha nadhalia hizi ili ziweze kukusaidia katika maisha yako na ndio maana nakusihi uwe na kitabu changu cha mitetemo ya kiroho kwa maana kina kila kitu kwa mpangilio mzuri na inakuwa kama kumbukumbu na chanzo cha elimu kwa wanao kuzunguka.
Nimalize kwa kuku alika kununua kitabu changu cha MITETEMO YA KIROHO chenye gharama ya Tsh 25,000/= , kitabu ni nakala laini(eBook) unakipata kwenye Whatsapp yako baada ya kufanya malipo kwenye Namba 0682329852 ,
BASI UMEBARIKIWA KWA KUFANIKIWA KUPATA EL
IMU HII KUBWA YA KIROHO.

0 Comments